DKT. MWAKYEMBE AFUNGUA KONGAMANO LA VYOMBO VYA HABARI DAR

Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe akifungua
kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam
linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia
katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati)
akisikiliza kwa makini michango mbalimbali ya wadau wa habari wakati wa
kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam
linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia
katika ukanda wa Afrika Mashariki, kushoto ni Katibu wa bunge la Afrika
Mashariki Balozi Dkt. Richard Sezibera na kulia.

Baadhi
ya Mabalozi na wadau wa habari wakimfuatilia kwa makini Waziri wa
Ushirikianno wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe wakati
akifungua kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini Dar es Salaam
linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia
katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe ( mwenye tai
ya njano mbele) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa
habari wakati wa wa kongamano la siku mbili mapema hii leo jijini Dar es
Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza
demokrasia katika ukanda wa Afrika Mashariki, kushoto ni Katibu wa bunge
la Afrika Mashariki Balozi Dkt. Richard Sezibera na kulia.Picha zote na Eliphace Marwa – MAELEZO
No comments:
Post a Comment