ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA SAME MAGHARIBI MKOANI KILIMANJARO


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpungia mkono mkazi wa kijiji cha Gonjanza
kata ya Suji,Msafara wa Kinana ulikuwa ukielekea katika hicho kuzindua
mradi wa masi safi na salama sambamba na kuzungumza na wananchi,wilaya
ya Same Magharibi mkoani Kilimanjaro.
Katibu
Mkuu yupo kwenye ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi ikiwa pamoja
na kukagua,kusimamia na kuhimiza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mbunge
wa Jimbo la Same Magharibi Dk.David Mathayo David wakinywa maji ya bomba mara
baada ya
Katibu Mkuu kuzindua mradi wa maji safi na salama kwa wananchi wa
kijiji cha Gonjanza kata ya Suji

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akimtiwsha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Gonjanza kata ya Suji

wakazi wa kijiji cha Gonjanza kata ya Suji wakifurahia kupatikana kwa maji
katika kijiji hicho,ambapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mbunge wa Jimbo la Same Magharibi Dk.David Mathayo David walizindua mradi huo

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijibu baadhi ya
changamoto za wananchi wa Hedaru waliomsomea kwenye risala yao, Katibu Mkuu
alipita Hedaru kushiriki na kukagua ujenzi wa ofisi ya CCM kata ya Hedaru.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa
Jimbo la Same Magharibi Dk. David Mathayo David wakati wa mapokezi katika kata ya Njoro .Katibu
Mkuu yupo kwenye ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi ikiwa pamoja
na kukagua,kusimamia na kuhimiza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa kata ya
Njoro ikiwa ni kituo cha kwanza katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM jimbo
la Same Magharibi.

Wananchi
wa kata ya Njoro wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana alipokuwa akiwapongeza kwa uamuzi wao wa kujenga shule ya
sekondari katika kata yao.
No comments:
Post a Comment