WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA CHINA MERCHANT GROUP

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimwonyesha Mwenyekiti wa Kampuni ya China
Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng jarida linaloonyesha fursa za
uwekezaji nchi lililotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania katika
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Wazri Mkuu jijini Dar es salaam
Machi 2015. Kampuni hiyo Inatarajiwa kuanza ujenzi wa bandari ya
Bagamoyo hivi karibuni.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mwenyekiti wa Kampuni ya China
Merchant Group, Bw. Li Xiaopeng (kulia) na balozi wa China nchini, LuYouqing
baada ya mazungumzo yake na uongozi wa kampuni hiyo Ofisini kwa Waziri
Mkuu jijini Dare s salam Machi 26, 2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa
kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya China
Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng , Ofisini kwa Wazri Mkuu jijini Dar es
salaam Machi 26, 2015. Kampuni hiyo Inatarajiwa kuanza ujenzi wa
bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa
Kampuni ya China Merchant Group, Bw. Li Xiaopeng (kulia kwake ) pamoja
na ujumbe wake na balozi wa China nchini, Lu Youqing (kushoto kwake
,baada ya mazungumzo yake na uongozi wa kampuni hiyo Ofisini kwa Waziri
Mkuu jijini Dare s salam Machi 26, 2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa
kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya China
Merchant Group, Bw. Li Xiaopeng (watatu kushoto ) pamoja na ujumbe wake
na balozi wa China nchini, Lu Youqing ( kushoto kwake) ,baada ya
mazungumzo yake na uongozi wa kampuni hiyo Ofisini kwa Waziri Mkuu
jijini Dare s salam Machi 26, 2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza
ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment