MKUTANO WA KAMATI YA WATALAAM WA FEDHA, UCHUMI NA MIPANGO WA NCHI WANACHAMA WA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA KAMISHENI YA UCHUMI YA AFRIKA (ECA) WAANZA ADDIS ABABA – ETHIOPIA.

Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Hamis H. Mwinyimvua (Kulia) na Balozi
wa Tanzania nchini Ethiopia, Mh.Naimi Azizi wakiwaa kwenye ufunguzi wa
Mkutano wa Watalaamu wa masuala ya Fedha Afrika unaofanyika Mjini Addis
Ababa – Ethiopia.

Baadhi ya wajumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 8 wa Watalaam wa masuala
ya
Fedha – Afrika wakijadili jambo wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo
uliofanyika katika ukumbi wa ‘United Conference Centre’ Addis Ababa.
Kulia ni Nd.Mbayani Saruni na Kushoto ni Bi.Glory Sindilo.

Mh.Naimi
Azizi Balozi wa Tanzania Nchini Ethiopia (Katikati) na Dkt. Hamis
Mwinyimvua (kushoto) wakifurahia jambo na baadhi ya washiriki wa Mkutano
wa 8 wa Watalaamu wa masuala ya Fedha wa Afrika baada ya ufunguzi wa
Mkutano huo.
No comments:
Post a Comment