TBL YATOA MSAADA WA MABATI, SARUJI KWA WAATHIRIKA WA JANGA LA MVUA KAHAMA
Mwenyekiti
wa kamati ya maafa ya watu waliopatwa na janga la mvua ya mawe katika
kata ya Mwakata ambae ni mkuu wa wilaya ya Kahama, Benson Mpesya wa
katikati akipokea msaada wa vifaa vya ujenzi mabati 176 na mifuko ya
saruji 130 vilivyotolewa na kampuni ya bia ya TBL kulia anayekabidhi
ni meneja mauzo na usabazaji Godwin Zakaria na kushoto ni mjumbe wa
kamati Patrick Kalangwa ambae ni mkurugenzi wa halmashauri ya Msalala
lengo la msaada huo ni kuunga mkono ahadi ya Rais Jakaya Kikwete ya
kuwajengea nyumba wahanga hao.

Mkuu
wa wilaya ya Kahama Benson Mpesya kushoto ambae ni mwenyekiti wa maafa
wa janga la mvua ya mawe lililowapata wananchi wa kata ya Mwakata
wilayani Kahama akipokea msaada wa vifaa vya ujenzi mabati 176 na
mifuko ya saruji 130 toka kampuni ya bia ya TBL , anayekabidhi kulia
ni Meneja idara ya mauzo na usambazaji Godwin Zakaria na katikati ni
Juma Akida ambae ni meneja mauzo kanda ya ziwa .
Wananchi
wa kijiji cha Mwakata wilayani Kahama wakishusha msaada wa mabati
yaliyotolewa na kampuni ya bia tanzania TBL kwa lengo la kuunga mkono
ahadi ya Rais Jakaya Kikwete ya kuwajengea nyumba wahanga wa kata hiyo
walioathiriwa na mvua ya mawe ambako kampuni hiyo imetoa mabati 176 na
mifuko ya saruji 130 .
No comments:
Post a Comment