RAIS KAGAME WA RWANDA AHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA KANDA YA KATI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimraribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye
ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano
wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference)
ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.PICHA NA IKULU.


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa kwenye
ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano
wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference)
ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiteta jambo.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika picha ya
pamoja na mawaziri wa Tanzania, kenya, DRC na Uganda kwenye ukumbi wa
Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu
wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na
kumalizika leo Machi 26, 2015
No comments:
Post a Comment