MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA LA KIGANGO CHA MT. DOMINIC SAVIO TEMEKE MIKOROSHINI, DAR ES SALAAM.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki na kuongoza matembezi ya Hisani kwa ajili ya kuchangia
ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke
Mikoroshini. Matembezi hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi
kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia wakati wa hafla fupi ya matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. Matembezi hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam

Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema, akizungumza kabla ya kumkaribisha
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati wa hafla fupi ya matembezi ya hisani
ya
kuchangia
ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke
Mikoroshini. Matembezi hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi
kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi ya Saa yenye picha yake kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati
ya maandalizi ya matembezi hayo, Paroko wa Parokia ya Chang’ombe,
Benedict Mushi, wakati wa hafla fupi ya matembezi ya hisani ya kuchangia
ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke
Mikoroshini. Matembezi hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi
kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi ya picha yake iliyochorwa na Msanii, Florian Ludovic
(hayupo pichani) kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya
matembezi hayo, Paroko wa Parokia ya Chang’ombe, Benedict Mushi, wakati
wa hafla fupi ya
matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini, matembezi hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam. Picha hiyo iliuzwa kwa mnada kiasi cha Sh. Milioni 2.5.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimina na kumpongeza, msanii aliyechora picha yake, Florian
Ludovic, wakati wa hafla fupi ya matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi
wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke
Mikoroshini. Picha hiyo iliuzwa kwa mnada kiasi cha Sh. Milioni 2.5.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimpongeza Mzee Thomas Wambura Kyangombe (miaka 99) baada ya
kushiriki
matembezi hayo ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha
Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. matembezi hayo
yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi
Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa katika picha ya
pamoja yam zee Thomas Wambura Kyangombe (miaka 99) na mtoto mdogo kuliko
wote walioshiriki matembezi hayo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa kanisa hilo na
wanakamati wa uchangiaji wa ujenzi huo
No comments:
Post a Comment