MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA WASHIRIKA MAJENZI YA KIJANI WA AFRIKA MASHARIKI, JIJINI ARUSHA

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano mkuu wa kwanza wa Washirika
Majenzi ya Kijani wa Afrika Mashariki, uliofanyika leo Machi 19, 2015
kwenye Hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, PSPF,
Adam Mayingu, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa kwanza wa Washirika
Majenzi ya Kijani wa Afrika Mashariki, uliofanyika leo Machi 19, 2015
kwenye Hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu, wakati wa
ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa kwanza wa Washirika Majenzi ya Kijani wa
Afrika Mashariki, uliofanyika leo Machi 19, 2015 kwenye Hoteli ya
Ngurdoto jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment