BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU HESLB YALIA NA MAREJESHO
Mkurugenzi
Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi
wa Elimu ya Juu
Cosmas Mwaisobwa(katikati) akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari Dar es Salaam leo juu ya hali ya urejeshaji mikopo
ya wanafunzi. Kushoto ni Mkurugenzi Urejeshaji wa Mikopo wa HESLB, Juma
Chagonja na Afisa habari, mwandamizi, Elimu na Mawasiliano, Veneranda
Malima.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi
wa Elimu ya Juu, Cosmas Mwaisobwa(katikati) akifafanua jambo kwa
waandishi wa habari Dar es Salaam leo juu ya hali ya urejeshaji mikopo
ya wanafunzi. Kushoto ni Mkurugenzi Urejeshaji wa Mikopo wa HESLB, Juma
Chagonja na Afisa habari, mwandamizi, Elimu na Mawasiliano, Veneranda
Malima.
---
IMANI potofu kuwa mikopo itolewayo
na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), ni ruzuku na hawapaswi kuirejesha ni moja ya
changamoto ambazo bodi hiyo inakabiliana nazo katika ukusanyaji wa madeni
kutoka kwa wanufaika.
No comments:
Post a Comment