AFANDE SELE NAYE AJIUNGA RASMI NA ACT

MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele' naye amejiunga rasmi na chama cha ACT-Tanzania.

Afande Sele ambaye alikuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) amejiunga na ACT-Tanzania leo wakati wa mkutano na
wanahabari uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment