Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawapongeza Wajumbe wa Bunge la Katiba...!

Mwenyekiti
wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Prof. Ruth Meena (wa pili
kulia) akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji
wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi na wajumbe wengine
wa mtandao wa wanawake na Katiba.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.

Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.

Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment