MBUNGE WA JIMBO MOROGORO KUSINI ATEKELEZA AHADI YAKE YA KUWEZESHA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris (kulia) Ahimkabidhi
Pikipiki 11 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh Jazar Ikiwa
Ni ahadi yake aliyoitoa ya Kukusaidia chama cha Mapinduzi Kujitegemea
Kiuchumi.Mh Kalogeris Amekabidhi pikipiki hizo akiwa na Lengo Kila kata
Kuwa na Pikipiki MMoja uwe Mradi wa Chama ili kuwezesha Kila kata
Kuendesha Shuguli za Chama Bila kuwa wategemezi .Mbunge Kalogeris
amehadi kuhakikisha kata zote za jimbo hilo zinapatiwa Pikipiki.Mh
Kalogeris amesisitiza Pikipiki hizo ni mali ya CCM Wilaya ya Morogoro
Vijijini na si mali ya watu binafsi.
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris Akitoa hotuba yake
Namna atakavyoshirikiana na Wanachama na Viongoizi wa Jimbo la Morogoro
Kusini bega kwa bega ili chama hicho kiweze kujitegemea kiuchumi kwajili
ya kutekeleza Majukumu yake ya Kila siku Ikiwemo Kushinda kwa kishindo
Uchaguzi wa serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu mwaka 2O15.
Mwenyekiti
wa CCM Morogoro Vijijini Mh Jazar akisisitiza jambo wakati akitoa neno
la Shukrani mara Baada ya Kupokea Msaada ikiwa ni Utekelezaji wa Ahadi
ya Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Kalogeris aaliyoitoa kwajili
ya kukifanya Chama cha Mapinduzi Kujitegemea Kiuchumi.
Wanachama na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Morogoro vijijini waliojitokeza wakati wa Kupokea Msaada huo.
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh Jazar (Kulia) Akikabidi Pikipiki
kwa Mmoja wa Mwakilishi wa kata zinazounda Wilaya ya Morogoro mjini
Ikiwa kama mrdi wa kukiwezesha chama hicho kujitegemea
No comments:
Post a Comment