VIONGOZI WA TAKUKURU WAKUTANA KILIMANJARO .
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU unaofanyika katika ukumbi wa Kuringe. |
| Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dk Edward Hosea akizummza wakati wa Mkutano wa mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU . |
| Mkurugenzi wa idara ya elimu TAKUKURU ,Marry Mosha akitoa neno la shukurani mara baada ya mgeni rasmi kufungua mkutano huo. |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akiteta jambo na Mkurugenzi wa TAKUKURU Dk Edward Hosea. |
| Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Kilimanjaro pia walikuwa waalikwa katika mkutano huo. |
2 comments:
Pamoja na kuzinusuru 38.9bn,Takukuru ipanue uwigo wa ofisi za kata, japo awepo afisa 1 kila kata kwa ukusanyaji wa taarifa za dhidi ya makosa ya rushwa,Lakini pia ofisi za (w)ziwe na sero watuhumiwa wa makosa ya rushwa ,bila kusahau serikali kama inataka kupunguza vitendo vya rushwa watumishi wapate mafunzo weredi marakwa mara na kiiterigensia zaidi.
Mwisho wanazoeleka sana na jamii kutokana na mda wanaokaa vituonikwa mda mrefu hivyo huwapelekea kufanya kazi kwa mazoea,hivyo wahamishwe kama utaratibu uanavyo elekeza kwa watumishi.
TAKUKURU hongera kwa kazi nzuri kwa mwaka 2013/2014 july ya kuziokoa 38.9bn. lakini pia juhudi izidi zaidi ya hapo kwa kuangalia ni vitu gani vimesababisha hayo mafanikio na vitu gani vimekwamisha kufikia kuzinusuru zaidi ya 38.9bn.Naamini kwa kuangali negative to postive effect mtawini zaidi. Zaidi i congratuate u Pccb officers copaired to other minstries staffs
Post a Comment