Header Ads

BINTI WA WILL SMITH ‘WILLOW’ AFUMWA AKIBANJUKA KITANDANI NA BONGE LA NJEMBA




Will Smith FamilyHitmaker wa ‘Whip My Hair’  Willow Smith(14)  ambaye ni binti wa muigizaji nguli Will Smith amezua maswali mengi kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wake kufuatia picha alizopiga akiwa kitandani na njemba wakiwa vifua wazi kuzagaa kama njugu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
Mwimbaji huyo kinda alipigwa picha hiyo akiwa kitandani na staa wa filamu aitwae Moises Arias(20) AKA ‘Hanna Montana’ kipindi cha mapumziko ya Tamasha la muziki na sanaa ‘Coachella  ambalo hufanyika kila mwaka mjini Los Angels Marekani.
Hata hivyo wazazi wa Willow hawakuonyesha kabisa kushtushwa na kitendo hicho zaidi ya mama mzazi wa binti huyo ‘Jada Pinkett’ kuvitupia lawama  vyombo vya habari kwa kukuza jambo huku  akidai kwamba hakuna kitu kilichokuwa kikiendelea baina ya binti yake na staa huyo wa filamu.
Willow Smith 
Pichani ni Willow Smith akiwa amejiachia kwa raha zake na njemba ‘Hannah Montana’

No comments:

Powered by Blogger.