| Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizuzungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi
Tanzania, Abdallah Majura Bulembo (kulia) na Makamu wake Dogo Idd
Mabrouk (Wapili kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya
hiyo, Mohammed Seif Khatib (wapili kulia) baada ya kufungua semina
viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa, mikoa na
Wilaya nchini , kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM,
Februari 22, 2014. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya
Jumuiya hiyo Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment