Header Ads

Soma Alichokisema ,Jaji Mkuu mstaafu, Augustine Ramadhani,juu ya mipaka ,bunge maalum la katiba


Jaji Mkuu mstaafu, Augustine Ramadhani
---
 Jaji Mkuu mstaafu, Augustine Ramadhani, amesema Bunge Maalumu la Katiba linabanwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Kifungu cha 25 kufanya mabadiliko makubwa ya Rasimu ya Pili ya Katiba iliyofwasilishwa bungeni.

Akifungua mkutano mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika(TLS) jana jijini hapa, Jaji Ramadhani, alisema hata hivyo kutokana na malumbano ya kisheria yaliyoibuka sasa ni vyema wabunge wa Bunge hilo wakaachiwa jukumu wenyewe kukipitia kifungu hicho cha 25, ili kuona mamlaka yao.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea......

No comments:

Powered by Blogger.