Mwenyekiti Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Dk Reginald Mengi amesema vyombo vya habari vinapaswa kuwataja kwa majina watu wanaojihusisha na vitendo vya rushwa katika taasisi za umma, badala ya kutoa tuhuma za jumla.

Mwenyekiti Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Dk Reginald Mengi
---
Mwenyekiti Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini
(MOAT), Dk Reginald Mengi amesema vyombo vya habari vinapaswa kuwataja
kwa majina watu wanaojihusisha na vitendo vya rushwa katika taasisi za
umma, badala ya kutoa tuhuma za jumla.
Dk Mengi alisema tuhuma za jumla kwamba taasisi
fulani ya umma inajihusisha na rushwa, zinawaumiza watumishi waadilifu
ambao ni sehemu ya taasisi hizo.
“Mnapotoa tuhuma za jumla kwamba taasisi fulani
inanuka rushwa, mnawaumiza wale watumishi waadilifu, tuhuma za aina hiyo
zinawaficha wale waovu wanaohusika,” alisema Dk Mengi kwenye hafla
aliyoiandaa kuwapongeza wahariri walioshinda kesi ya uchochezi iliyokuwa
ikiwakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es
Salaam.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea..........
No comments:
Post a Comment