Header Ads

Video Kutoka Chadema: Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo wa CHADEMA Mh. Benson Kigaila amesema kuwa madai kuwa Katiba ya CHADEMA imechakachuliwa kwenye kipengele cha ukomo wa Uongozi ni ya uzushi na hayana msingi wowote.



No comments:

Powered by Blogger.