Header Ads

Taswira Kutoka IKULU:Rais Jakaya Kikwete Akutana na Watanzania Waishio Nchini Uingereza

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuagana na baadhi ya Watanzania waishio jiji la London Uingereza jana jioni muda mfupi kabla ya kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria Mkutano wa Open Government Partnership.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania waishio jiji la London nchini Uingereza jana jioni.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Powered by Blogger.