MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA WARSHA YA VIONGOZI WA KABILA LA JAMII YA WAFUGAJI KUHUSU AFYA YA UZAZI NA KUZUIA MAAMBUKIZI YA UKIMWI
Mke
wa RaiS Mama Salma Kikwete akivishwa mavazi ya wafugaji wa jamii ya
wamasai wakati wa warsha ya viongozi wa kimila iliyofanyika Dar jana.
Baadaye Mama Salma alipokea zawadi kwa ajili ya Mheshimiwa Rais Dkt.
Jakaya Kikwete.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama
Salma Kikwete akifungua rasmi warsha ya siku moja ya viongozi wa kibila
la jamii ya wafugaji kuhusu afya ya uzazi na kuzuia maambukizi ya ukimwi
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar.
Baadhi
ya washiriki wa warsha ya viongozi wa kimila wa jamii ya ufugaji kuhusu
afya ya uzazi na kuzuia maambukizi ya ukimwi wanaonekana wakisikiliza
kwa makini mambo yaliyokuwa yakiongelewa kwenye warsha hiyo.
Baadhi
ya washiriki wa warsha ya viongozi wa kimila wa jamii ya ufugaji kuhusu
afya ya uzazi na kuzuia maambukizi ya ukimwi wanaonekana wakisikiliza
kwa makini mambo yaliyokuwa yakiongelewa kwenye warsha hiyo.
Baadhi
ya washiriki wa warsha ya viongozi wa kimila wa jamii ya wafugaji
wqakisikiliza kwa makini hotuba ya ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere.
Baadhi
ya wafugaji wa jamii ya wamasai wakicheza ngoma za asili wakati wa
ufunguzi wa warsha hiyo kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar.
Katibu
Mtendaji wa WAMA Bwana Daud Nassib akizungumza na wajumbe wa warsha ya
viongozi wa kimila wa jamii ya wafugaji hapa nchini iliyofanyika. PICHA
NA JOHN LUKUWI
No comments:
Post a Comment