Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Kamati ya Uandishi wa Taarifa za Serikali IKULU Zanzibar.
ais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Kamati ya uandishi wa
taarifa za Serikali,katika mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya
Zanzibar,ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Kamati ya uandishi wa taarifa za Serikali,katika
mahojiano maalum kuhusu maendeleo ya Zanzibar,ikiwa ni katika
maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar leo mchana.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment