RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA PAKISTAN NCHINI ALIYEMALIZA MUDA WAKE
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Pakistan nchini Mhe
Tajammul Altac aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 26, 2013
kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Pakistan
nchini Mhe Tajammul Altac aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Oktoba 26, 2013 kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment