NIMR YAENDELEA KUKUZA MATUMIZI YA MATOKEO YA TAFITI ZA AFYA
Mkurugenzi
Mkuu kutoka Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Dr. Julius Massaga
akieleza kwa waandishi wa Habari jinsi wanavyoshirikiana na Taasisi za
kimataifa katika kufanya tafiti mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa Malaria,wakati wa
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es
Salaam.Picha na Hassan Silayo-MAELEZO
Mtafiti
Mkuu na Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya
Binadamu Bw. Leonard Mboera(kulia) akieleza kwa waandishi wa habari(hawapo
pichani) kuhusu Mifumo mbalimbali ya utoaji taarifa za Tafiti zinazofanywa na
Taasisi hiyo,wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya
Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Hbari wa Idara ya
Habari(MAELEZO) Bw. Frank Mvungi.

No comments:
Post a Comment