NHC yajidhatiti kukabiliana na changamoto ya makazi nchini.
Meneja Huduma kwa Jamii toka Shirika la
Nyumba la Taifa (NHC) Bw.Muungano Saguya akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo
pichani)kuhusu hatua zinazochukuliwa na Shirika hilo kutatua tatizo la makazi
hapa nchini ikiwa ni pamoja na mkakati wa miaka 5 wa utakaohusisha ujenzi wa
nyumba 15,000,wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO)
Leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Bw. Frank
Mvungi.
Meneja Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa
(NHC) Bw. Willium Genya akitoa wito wa wananchi kupitia waandishi wa
habari(hawapo pichani) kujitokeza kununua nyumba hizi ili kwa pamoja kusaidiana
kuondoa tatizo la makazi nchini,wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara
ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Meneja Huduma kwa Jamii
toka Shirika hilo Bw.Muungano Saguya.
Picha
na Hassan Silayo-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment