MWILI WA NDUGU YETU DANIEL AMBAKISYE KAMELE WAPUMZISHWA KWA AMANI LEO KATIKA MAKABURI YA TABATA SEGEREA
Gari
likibeba mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele mara baada ya
kumaliza misa ya kuombea Mwili wa Marehemu ambaye alifariki kwa ugonjwa
wa Malaria katika Hospitali ya Temeke juzi
Gari
lililokuwa limebeba mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele likiwasili
katika Makaburi ya tabata segerea Kwaajili ya kuupumzisha Mwili wa
Marehemu Kwenye Nyumba yake ya Milele leo jioni katika Makaburi ya
Tabata Segerea
Ndugu,
Jamaa na Marafiki wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele wakiwa wamebeba
jeneza lenye Mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele wakati
lilipowasili kwenye Makaburi ya Tabata Segerea Jioni ya leo kwaajili ya
kuupumzisha mwili wa marehemu Kwenye Nyumba yake ya Milele
Jeneza
lenye Mwili wa Marehemu Daniel Ambakisye Kamele likipelekwa Katika
Kaburi lake kwaajili ya Kuupumzisha Mwili wa Marehemu katika Nyumba yake
ya Milele leo jioni katika makaburi ya Tabata Segerea.
No comments:
Post a Comment