AfisaUhusiano toka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala
Bi.Tabu Shaibu(Kulia) akieleza kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani)
mafanikio yaliyopatikana katika utoaji wa huduma ya Afya ikiwa ni pamoja na kuboresha
Miundombinu ya afya katika manispaa hiyo,wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi
wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mganga Mkuu wa
Manispaa hiyo Dkt. Asha Mahita.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala Dkt. Asha Mahita(Kushoto) akitoa
tahadhari kwa wananchi kupitia waandishi wa habari(hawapo pichani) kuacha tabia
ya kufungua makaro ya maji machafu kipindi cha Mvua ili kuepuka magonjwa ya
mlipuko,wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo
Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Uhusiano wa Manispaa hiyo Bi.Tabu Shaibu.Picha
na Hassan Silayo
No comments:
Post a Comment