Mfumo wa PVoC kuondoa tatizo la uingizwaji wa bidhaa hafifu nchini.
Afisa Uhusiano wa Shirika la Viwango
Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile akitoa ufafanuzi kuhusu ufunguaji wa Ofisi
za Shirika hilo katika maeneo ya mipakani ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa
zilizo chini ya kiwango, wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa idara ya
habari(MAELEZO) leo Jijini Dar Es Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya
Habari(MAELEZO) Bw. Frank Mvungi. Picha
na Hassan Silayo-MAELEZO
Afisa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango
Tanzania(TBS) Bw. David Ndibalema(kushoto) akieleza kwa waandishi wa
habari(hawapo pichani) kuhusu mfumo wa Udhibiti wa ubora wa bidhaa zinazotoka
nje ya nchi kabla ya kusafirishwa (PVoC) utakaosaidia kuondoa tatizo la bidhaa
hafifu, wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa idara ya habari(MAELEZO) leo
Jijini Dar Es Salaam.Kulia ni Afisa Uhusiano wa Shirika hilo Bi. Roida
Andusamile
No comments:
Post a Comment