MBUNGE KABATI AMWAGA MISAADA JIMBO LA IRINGA MJINI
Mbunge Kabati akikabidhi maada wa vitabu vya masomo mbali mbali kwa wakuu wa shule za sekondari jimbo la Iringa mjini.
Mbunge Kabati akikabidhi msaada wa
madawati kwa walimu wakuu wa shule za msingi jimbo la Iringa mjini
katikati mwenye kanzu ni kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa Salim Asas.
Katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Bw Francis Godwin akipokea msaada wa kompyuta kutoka kwa mbunge Ritta Kabati leo.Picha zaidi Bofya Hapa |
No comments:
Post a Comment