MAMA MSHUA, CHONGOLO WALA NONDOZZ OUT
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha-Rose Migiro,
akimpongeza Kada wa CCM, Asha Abdallah Juma, baada ya kumtunuku shahada
ya pili ya Biashara ya Chuo hicho, katika mahafali ya 25, yaliyofanyika
leo, Makao Makuu ya OUT, Bungo, Kibaha mkoa wa Pwani. Kushoto ni Makamnu
Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Tolly Mbwette. Asha ambaye sasa ni Mjumbe
wa NEC CCM, amewahi kuwa Wazirikatika serikali ya Mapinduzi Zanzibar na
pia Katibu wa NEC, Oganaizesheni.
MKUU wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma katika Idara ya Itikadi na
Uenezi CCM, Makao Makuu, Daniel Chongolo, akipongezana na Mjumbe wa NEC
ya CCM, Asha Abdallah Juma baada ya wote kutuniwa shahada zao katika
mahafali ya 25 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), yaliyofanyika
jana, Oktoba 27, Bungo, Kibaha mkoa wa Pwani. Chongolo ametunukiwa
shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma na Asha shahada ya Pili ya
Biashara. Katikati ni Kada wa CCM, Rachel Kyala ambaye pia ametunukiwa
shahada ya Mawasiliano ya umma.
Mama Asha akipongezwa na mmoja wa ndugu zake wa karibu baada ya kutunukiwa shahada hiyo
Kisga Ndugu yake huyo akapozi naye picha ya kumbukumbu
Huyu pia ambaye ni ndugu wa karibu akapiga naye pozi la picha
Asha akiwa katika picha ya pamoja na ndugu zake waliofika kwenye mahafali hayo kumponbgeza
Asha akipongezana na mhitimu mwenyenzake, Amina Mzee Ibrahim kutoka Shirila la Bima Zanzibar ambaye amepata shahada ya MBA
Mama Asha, akipozi picha ya kumbukumbu na mhitimu mwenzake Haider Mwinyimvua
============================
CHONGOLO
============================
CHONGOLO
Chonbgolo (wapili kulia) akiweka sawa kofia yake maalum, baada ya yeye
na wahitimu wa shahada ya mawasiliano na umma kutunukiwa shahada hiyo
wakati wa mahafali hayo
Hongera Mwanangu: Chongolo akipongezwa na mama yake baada ya kutunikwa shahada yake
Mama akamvalisha taji kwa furaha
Hongera Mume wangu: Mkewe pia akampingeza
Kisha akapozi naye picha ya kumbukumbu
Huyu kaka ambaye naye ni ndugu wa karibu wa Chongolo akatoa pongezi zake kwa furaha kubwa
Kisha Chongolo akapiga na ndugu zake hao picha ya kumbukumbu
===========
===========
HAPA BILA SHA MAMBO YAMENOGA: Inaelekea ndivyo Mkuu wa Chuo Kikuu Huria
Cha Tanzania , Dk. Asha-Rose Migiro ndivyo alivyokuwa akiteta na Makamu
wake, Tolly Mbwette wakati wa mahafali hayo.
Abdallah Majura baada ya kupata shahada yake
DC wa Nyamagana ambaye pia ni Kada wa CCM, Baraka Konisaga akisubiri kutunukiwa shahada yake
Devota Jobu na Lucy Makoye wakionyesha nyuso za furaha wakati wakisubiri kutunukiwa shahada ya mawasiliano ya umma
Mwansihi wa habari ambaye anakaribia kuwa mkongwe, Tamali Vullu akiwa
na rafiki yake ambaye wametunukiwa wote shahada ya mawasilino ya umma
Hurbert Matau kutoka Vdacom Tanzania (kushoto) akiwa na wenzake kwenye mahafali hayo. Imetayarishwa na theNkoromo Blog
--
No comments:
Post a Comment