Header Ads

MAKAMU AZINDUA UJENZI WA NYUMBA ZA WATUMISHI WA UMMA BUNJU


MAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA NYUMBA 851 ZA WATUMISHI WA UMMA ENEO LA BUNJU 'B' WILAYA YA KINONDONO MKOA WA DAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. Kutoka (kushoto) ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kudumu ya Miundombinu, Peter Serukamba, Waziri wa Ujnezi, Dkt. John Pombe Magufuli na (kushoto) kwa Makamu ni Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius Mwakalinga na Naibu Katibu Mkuu wa Ujenzi. Picha zote na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka kukagua maendeleo ya ujenzi wa moja kati ya Nyumba 851, baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba hizo za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo la Bunju B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa TBA, Elius Mwakalinga na (kulia) ni Waziri wa Ujnezi, Dkt. John Pombe Magufuli.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Bunju B, wakati alipofika kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba 851 za Watumishi wa Umma zinazojengwa katika eneo hilo, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe hiyo liyofanyika leo. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE

No comments:

Powered by Blogger.