maadhimisho ya siku ya Baba wa Taifa katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma LEO.
Kutoka
kushoto (mstari wa mbele) ni Waziri wa Utumishi Mh.Celina Kombani,Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dk.Rehema Nchimbi,Mstahiki Meya wa Manispaa ya Dodoma
Mh.Emmanuel Mwiliko na Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw.HAB Mkwizu
wakiserebuka katika maadhimisho ya siku ya Baba wa Taifa katika viwanja
vya Nyerere Square mjini Dodoma.Wengine vi viongozi waandamizi
serikalini walioalikwa kwenye maadhimisho hayo.
Mh.Balozi
Job Lusinde akielezea misingi ya Mwalimu kwenye Maadhimisho ya Siku ya
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika viwanja vya Nyerere Square mjini
Dodoma.
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani
akihutubia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Nyerere katika
viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
Kikundi cha Ngoma za Asili cha ‘Hiyari ya Moyo’ kikitoa burudani katika Maadhimisho ya Siku ya Kumuenzi Baba wa Taifa katika viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
Baadhi
ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma wakijumuika pamoja kuadhimisha Siku ya
Kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere katika viwanja vya Nyerere
Square mjini Dodoma.
Baadhi
ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma wakijumuika pamoja kuadhimisha Siku ya
Kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere katika viwanja vya Nyerere
Square mjini Dodoma.
Baadhi
ya Watumishi wa Umma na wakazi wa Mkoa wa Dodoma wakijumuika pamoja
kuadhimisha Siku ya Kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere katika
viwanja vya Nyerere Square mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment