hafla ya FAMILY FESTIVA ILIVYOFANA SHAMO TOWERS MWISHONI MWA WIKI.
Michezo mbalimbali ya kuwafurahisha watoto ilikuwepo.
Akina
mama waliohudhuria kwenye hafla hiyo wakibadilishana mawazo.Punguzo la
bei linaendelea kwenye maduka mengi ndani ya Shamo Towers,jengo lipo
Mbeze Beach ,Bagamoyo Road karibu na Tangi Bovu.
Wadau wa mawasiliano nao walikuwepo kutoka huduma kwa wateja wao.
Wadau mbalimbali wakiwa na familia zao wakiangalaia madhari ya eneo hilo la Shamo Towers
Watoto wakifurahi michezo kwa pamoja.
Watoto
wakifurahia michezo mbali mbali waliokuwa wameandaliwa wakati wazee wao
wameenda kufurahia punguzo kwenye maduka mbali mbali hapo shamo Towers.
Sehemu ya watu wengi waliomiminika katika hafla ya family festival iliyofanyika mwishoni mwa wiki,Mbezi beach jijini Dar.
Akina mama wakifurahia jambo.
Shamo Tower palipendeza
Wakina mama wakijipumzisha kwenye mgahawa wa Boogie Woogie.
No comments:
Post a Comment