CRDB YATUMIA MILIONI 50 KUKARABATI WARD YA WAJAWAZITO HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Injinia Evarist Ndikilo akifungua pazia la bango la wadhamini katika hafla ya kukabidhi ward ya wajawazito Hospitali ya Rufaa Bugando Mwanza iliyokarabatiwa na CRDB Benki. |
Pia CRDB imekabidhi mablanketi, vyandarua, vitanda na mashuka pamoja na mapazia ya kusitiri huduma maalum kwa ward ya wajawazito Bugando. |
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Ernest Mangu akishiriki utandikaji mashuka na blanketi katika ward ya wajawazito Hospitali ya Rufaa Bugando iliyokarabatiwa na CRDB Bank. |
No comments:
Post a Comment