Boya la Mafuta la Single Point Mooring laongeza ufanisi Bandari
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) Bi. Janeth Ruzangi(Kushoto)
akieleza kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani) kuhusu utendaji kkazi wa Boya
la Mafuta la Single Point Mooring(SPM) lililopo Kigamboni ,Wakati wa Mkutano
uliofanyika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Jijini Dar es Salaam.Kulia ni
Afisa Habari wa Idara ya Habari Hassan Silayo.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mafuta kutoka
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) Capt. Abdul Mwingamnoakieleza kwa
waandishi wa habari(hawapo pichani) ufanisi wa mradi wa SPM Ikiwa ni pamoja na
kuhudumia meli kubwa zenye uwezo wa kubeba mzigo wa tani 150,000,Wakati wa
Mkutano uliofanyika Ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Picha
na Frank Mvungi- MAELEZO


No comments:
Post a Comment