RAIS KABILA ATUA DAR MCHANA HUU KWA ZIARA YA SIKU MOJA
Ndege iliyomchukua Rais Joseph Kabila wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiwasili uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo Januari
30, 2013. Kiongozi huyo amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku
moja.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimjpokea Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam mchana wa leo Januari 30,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgteni
wake Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
wakmiangalia ngoma za utamaduni alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere jijijni Dar es salaam mchana wa leo Januari 30, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimtambulisha maafisa mbalimbali Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo Januari 30, 2013
Matarumbeta ya Mzee Hozza ndani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Joseph Kabila wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakiingia hoteli ya Kilimanjaro
Hyatt Regency jijini Dar es salaam mchana wa leo Januari 30, 2013






No comments:
Post a Comment