Taswira kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma
Waziri wa nchi, Ofisi ya ya Rais
(mahusiano na Uratibu) na Mbunge
wa Bunda Mhe Steven Wasira (kulia) akikumbatiana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe Godbless Lema katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma
wa Bunda Mhe Steven Wasira (kulia) akikumbatiana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe Godbless Lema katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Baadhi wa wabunge wakielekea katika
ukumbi wa mkutano Bungeni mjini Dodoma
Kiongozi
wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe (kulia) , Mhe Godless
Lema (katikati- Arusha mjini) pamoja na Mbunge wa Musoma
Mjini, Mhe Vicent Nyerere wakielekea katika Ukumbi wa Bunge mjini
Dodoma. Mbunge Lema amerudi tena Bungeni baada
ya kushinda kesi yake
Wabunge
wa Iramba Magharibi Mhe Mwingulu Nchemba- CCM (kulia),
Mhe Joseph Selasini( Mbunge wa Rombo- CHADEMA ), na Mbunge wa NCCR-
MAGEUZI, Mhe Moses Machali wakiwa katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma(Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
MAGEUZI, Mhe Moses Machali wakiwa katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma(Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

No comments:
Post a Comment