kinana akagua miradi ya maendeleo ikiwemo soko la kimataifa la pamoja na ujenzi wa daraja mpakani mwa tanzania na burundi, kibondo mkoani kigoma

Jengo la Soko la Pamoja
lililokaguliwa na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana mapema leo jioni,ikiwa na
lengo la kurahisisha biashara ya mazao ya kilimo na bidhaa nyingine kati
ya wananchi wa Nyabibuye na vijijini vya Mishiha nchini Burundi.
Mwenyekiti
wa halmashauri ya Kibondo/Kokonko Bwa.Juma Magango akifafanua jambo
kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman
Kinana alipokwenda kukagua Soko la Pamoja leo jioni. 

Katibu
Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya Mpya
ya Kokonko Bwa.Peter Toima (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa halmashauri
ya Kibondo/Kokonko Bwa.Juma Magango (shoto) na baadhi ya Wanachi
wakielekea kukagua Mradi wa daraja la Umoja ulioibuliwa na Wananchi wa
Kijiji cha Nyabibuye mwaka 2011,ikiwa na lengo la kurahisisha biashara
ya
mazao ya kilimo na bidhaa nyingine kati ya wananchi wa Nyabibuye na vijijini vya Mishiha nchini Burundi,Mradi wa daraja hilo ni sehemu ya mpaka kati ya Tanzania na Burundi liofadhiliwa na serikali ya Japan kwa ushirikiano na Serikali ya Tanzania kupitia Tanzania/Japan Food Aid Counterpart Fund.Mradi huo unajengwa na Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kupitia ofisi ya Umwagiliaji na huduma za ufundi kanda ya Magharibi kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo na Wananchi wa kata ya Nyabibuye.
mazao ya kilimo na bidhaa nyingine kati ya wananchi wa Nyabibuye na vijijini vya Mishiha nchini Burundi,Mradi wa daraja hilo ni sehemu ya mpaka kati ya Tanzania na Burundi liofadhiliwa na serikali ya Japan kwa ushirikiano na Serikali ya Tanzania kupitia Tanzania/Japan Food Aid Counterpart Fund.Mradi huo unajengwa na Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kupitia ofisi ya Umwagiliaji na huduma za ufundi kanda ya Magharibi kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo na Wananchi wa kata ya Nyabibuye.

Wakielekea kukagua ujenzi wa mradi
wa darja la pamoja.

Pichani ni Mradi wa daraja la
Umoja ulioibuliwa na Wananchi wa Kijiji cha Nyabibuye mwaka 2011,ikiwa
na lengo la kurahisisha biashara ya mazao ya kilimo na bidhaa nyingine
kati ya wananchi wa Nyabibuye na vijijini vya Mishiha nchini
Burundi,Mradi wa daraja hilo ni sehemu ya mpaka kati ya Tanzania na
Burundi liofadhiliwa na serikali ya Japan kwa ushirikiano na Serikali
ya Tanzania kupitia Tanzania/Japan Food Aid Counterpart Fund.
Mradi huo unajengwa na Wizara ya
Kilimo Chakula na Ushirika kupitia ofisi ya Umwagiliaji na huduma za
ufundi kanda ya Magharibi kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya
Kibondo na Wananchi wa kata ya Nyabibuye.
Mradi huo unaotarajiwa kukamilika
februari 20,2013 utagharimu kiasi cha shilingi 260,000,000/=,aidha
imeelezwa kuwa mradi huo utatekelezwa kwa awamu nne,awamu ya kwanza
imeshaanza ambayo unahusisha ujenzi wa daraja,barabara KM1 inayotoka
kwenye soko hadi darajani na hifadhi ya Mazingira,utekelezaji wa awamu
ya kwanza umefikia 70% mpaka sasa.

Katibu
Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana akisalimiana na Msimamizi wa Mradi kanda ya Umwagiliaji
kutoka Mkoani Tabora,Alfred Swai alipokwenda kukagua mradi wa ujenzi
wa daraja la Umoja ulioibuliwa na Wananchi wa Kijiji cha Nyabibuye
mwaka 2011,ikiwa na lengo la kurahisisha biashara ya mazao ya kilimo na
bidhaa nyingine kati ya wananchi wa Nyabibuye na vijijini vya Mishiha
nchini Burundi.

Msimamizi wa Mradi kanda ya
Umwagiliaji kutoka Mkoani Tabora,Alfred Swai akitoa ufafanuzi mbele ya
Katibu Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana kuhusiana na ujenzi wa Mradi wa
daraja la Umoja ulioibuliwa na Wananchi wa Kijiji cha Nyabibuye mwaka
2011,ikiwa na lengo la kurahisisha biashara ya mazao ya kilimo na bidhaa
nyingine kati ya wananchi wa Nyabibuye na vijijini vya Mishiha nchini
Burundi,Mradi wa daraja hilo ni sehemu ya mpaka kati ya Tanzania na
Burundi liofadhiliwa na serikali ya Japan kwa ushirikiano na Serikali
ya Tanzania kupitia Tanzania/Japan Food Aid Counterpart Fund.Mradi huo
unajengwa na Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kupitia ofisi ya
Umwagiliaji na huduma za ufundi kanda ya Magharibi kwa kushirikiana na
Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo na Wananchi wa kata ya Nyabibuye.

Katibu
Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana akipanda mti kwenye shule ya sekondari ya
Nyamtukuza iliopo kwenye Wilaya ya Kibondo,mkoani Kigoma,pichani shoto
ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Bwa.Amani Ntibakazi.
Katibu
Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya
Mpya ya Kokonko Bwa.Peter Toima pamoja na Mwenyekiti wa halmashauri ya
Kibondo/Kokonko Bwa.Juma Magango wakikagua ujenzi wa shule hiyo ya Nyamtukuza

Katibu
Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana wa tatu kutoka kushoto akishiriki kwenye
ujenzi wa shule ya sekondari ya Nyamtukuza

Katibu
Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanafunzi wa shule ya
sekondari ya Nyamtukuza mara baada ya kuwahutubia mapema leo mchana,kulia kwake ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Bwa.Amani
Ntibakazi.

Katibu
Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi wa shule ya
sekondari ya Nyamtukuza mapema jioni ya leo,Kinana aliuahidi uongozi wa shule hiyo
kuwapa umeme (Solar Pannel )mbili kwa ajili ya kuzalisha umeme shuleni
hapo,Kampyuta moja pamoja na Televishen
Katibu
Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana akipokelewa na wananchi wa kijiji cha
Rumashi kata ya Nyabibuye,jimbo la Buyunga wilaya ya Kokonko.
Katibu
Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana akizungumza kwenye mkutanno wa hadhara
mapema leo jioni na Wananchi wa kijiji cha Rumashi kata ya
Nyabibuye,jimbo la Buyunga wilaya ya Kokonko.

Sehemu ya shamba la Mahindi safi
kabisa,ambalo pia Ndugu Kinana aliwahimiza wanakijiji cha
Rumashi,kutumia Pembejeo za mbolea kuhakikisha wanapata mazao bora.

Katibu
Mkuu,Ndugu.Abdulrahman Kinana akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha
Rumashi kata ya Nyabibuye,jimbo la Buyunga wilaya ya Kokonko mapema leo
jioni.




No comments:
Post a Comment