Afisa
wa Magereza wa Gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam, Gibson Mwakibibi
akiwaonyesha mfuniko wa Hotpot (Chombo cha kuhifadhia chakula) pamoja na Radio
Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ambapo vifaa hivyo vinatumika kuficha simu,
visu, bangi na vifaa mbalimbali ambavyo ni hatari kwa usalama wa Mahabusu na
wafungwa. Vifaa hivyo vilikuwa vinaingizwa na mahabusu hao pmaoja na baadhi ya
ndugu zao wanapopeleka chakula gerezani hapo. Hata hivyo, maafisa magereza kwa
kutumia chombo cha kugundulia vifaa mbalimbali (Metal Detector) kinachotumika
gerezani hapo huvikamata vifaa
hivyo.
|
No comments:
Post a Comment