Mh. Pinda na Mh. Lowassa wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda
akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowasa mara
baada yakushuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere,jijini Dar es Salaam wakitokea mjini Dodoma.Mh. Pinda alikuwa
Dodoma katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la wafanyakazi wa
Serekali za mitaa.Nyuma yao ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Tawala za Mikoa (TAMISEMI),Mh. Hawa Ghasia akiwa na Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni,Mh. Jordan Rugimbana ambaye alikuja kumpokea Waziri Mkuu
uwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment