Mabingwa wapya wa soka wa Afrika,
Chipolopolo wa Zambia wamepokelewa kwa shangwe katika mji mkuu Lusaka.
Mwandishi
wa BBC anasema mashabiki waliokuwa wakisubiri, walilipuka kwa kelele za
shangwe, wakati nahodha Christopher Katongo alipotoka kwenye ndege
akiwa amelibeba Kombe la dhahabu la Mataifa ya Afrika.
No comments:
Post a Comment