SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE YAPATA WABUNGE WAPYA NA WAZIRI MKUU RAISI WA MUSO MH,AMONI CHAKUSHEMEIRE AKITOA HOTUBA FUPI YA KUFUNGUA BUNGE LA KWANZA SPIKA WA BUNGE LA MUSO FRANK MHILU AKIMTAMBULISHA WAZIRI MKUU MTEULE MH,NASIBU KANDURU WABUNGE WATEULE WAKILA KIAPO SPIKA WA BUNGE MH.FRANK MHILU AKIAPA BAADHI YA WABUNGE WAKISHANGILIA USHINDI WA KISHINDO WA SPIKA WA BUNGE NA KUPITA BILA KUPINGWA KWA WAZIRI MKUU WABUNGE WAKIAPA.PICHA NA MDAU WA LUKAZA BLOG - MZUMBE UNIVERSITY MOROGORO
No comments:
Post a Comment