Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Masuala ya Afrika, Johnnie
Carson (kushoto) na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja,
wakisaini makubaliano ya ushirikiano wa maendeleo baina ya Marekani na
Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu, Dar
es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni Balozi wa Marekani nchini, Alfonso
Lenhardt (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,
Eliakim Maswi. (Picha kwa Hisani ya Ubalozi wa Marekani).
Reviewed by
crispaseve
on
4:28 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment