Header Ads

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Pamoja ya Fedha Bw William Shellukindo wakati alipokwenda kumueleza Tume ilipofikia katika Kazi Zake,leo Ofisini kwe Wazir Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.[Picha na Ali Meja]

No comments:

Powered by Blogger.