Taswira Mbalimbali Za Ziara Ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge Wa Bumbuli Mheshimiwa January Makamba Huko Ocean Rig
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Bumbuli Mheshimiwa , JanuaryMakamba(Mwenye Miwani na Shati) akifwatilia kwa makini Maelezo Mbalimbali Muda Mfupi baada ya Kutembelea Ocean rig

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Bumbuli Mheshimiwa , JanuaryMakamba akijiandaa kupanda helikopta kwenda kutembelea Ocean Rig
katika ziara hii wadau mbalimbali walimpongeza Mheshimia January
Makamba nakuonyesha kwao kufarijika sana na kuona kumbe tunao viongozi
imara na shupavu wanaoweza kuinua uchumi wa nchi hii na Kudiriki Kusema
Waziwazi kuvutiwa kwao na speech ya Mheshimwa January Makamba Huko
Ocean Rig
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Bumbuli Mheshimiwa , JanuaryMakamba akipata ufafanuzi wa mambo mbaimbali
credit:JL blog
No comments:
Post a Comment