Mheshimiwa Zitto Kabwe Anatarajia Kufanyiwa Upasuaji Kesho Nchini india
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini , Zitto Kabwe.
---
MADAKTARI
wa Hospitali ya Apollo iliyopo Bangalore, India kesho watamfanyia
upasuaji Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe.
Zitto alihamishiwa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wiki iliyopita na baadaye kupelekwa India kwa matibabu zaidi ya maradhi ya kipanda uso ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa miaka 10 sasa.
Zitto alihamishiwa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wiki iliyopita na baadaye kupelekwa India kwa matibabu zaidi ya maradhi ya kipanda uso ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa miaka 10 sasa.
No comments:
Post a Comment