B-HITZ YAHAMIA KAWE

Studio yenye hit za ukweli hapa mjini B-Hitz kwa sasa imefungwa kwa muda baada ya CEO wake mtu mzima Hermy B kufanya kufuru kubwa za kujenga studio ya ukweli zaidi pande Kawe.
Hermy mbali ya kuihamishia B-Hitz Kawe pia
amejenga kitu cha club maeneo hayo hayo. Kwa ufupi mradi wa B-Hitz
umekuwa mkubwa na kwamba mashabiki wasubiri hit za kutosha soon after
re-opening. Za chini ya kapeti pia zinadai B-Hitz itaongeza producer
wawili wapya ili waje kumpa tafu Pancho Latino Mafia.
No comments:
Post a Comment