Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr. Cyril Chami (kushoto)
akizungumza na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini kwenye viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma Juni 17, 2011. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum,
Vicky Kamata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr. Cyril Chami aikiwa katika picha
ya pamoja na baadhi ya waigizaji wa filamu nchini waliokwenda Bungeni
Mjini Dodoma Juni 17, 2011. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum,
Vicky Kamata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Reviewed by
crispaseve
on
10:29 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment