Header Ads

Marehemu Kamanda Lucas Ng'hoboko enzi za uhai wake
Aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Lucas Ng'hoboko amefariki dunia leo asubuhi huko Moshi. Taarifa za awali zinaeleza chanzo cha kifo chake ni shinikizo la damu.taarifa zaidi tutawaleteeni kadri zitakavyotolewa na jeshi la polisi.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi

No comments:

Powered by Blogger.