NBC YAKABIDHI HUNDI KWA MFUKO SAWA KWA WOTE
Mkuu wa Masoko na mawasiliano wa
Benki ya NBC ,Mwinda Kiula-Mfugale (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi
ya shillingi milioni 18,200,000/- kwa Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa
kwa Wote (EOTF) Mama Anna Mkapa kwa ajili ya mafunzo ya wanawake
wajasiriamali 250 yanayotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika ofisi za EOTF, Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment