NA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA ARUSHA
Vijana waliofanikisha uzinduzi wa Serengeti Fiesta 2011.
Staili zilikuwa ni nyingi sana za kucheza.

Mratibu
wa Serengeti Fieta 2011, ambaye pia ni mfanyakazi wa Clouds Fm Hellen
Kazimoto akiwa pamoja na mtangazaji wa Clouds Fm 89.7 Arachuga Dj Fetty
wakijaribukuweka mambo sawa.
Kila mmoja alionyesha umahili wake wa kucheza.
Reviewed by
crispaseve
on
2:24 PM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment